JALILU

JALILU ZAID

ABOUT ME

Photographer |Media Personnel |Storyteller |Digital Strategist |Hustler |Content Creator.

 • Date of birth
  May 22
 • Languages
  English, Swahili
 • Hobbies
  Photography, Football, Volleyball.
 • Website
  www.jaliluzaid.com

I found myself becoming more and more jaded with the Photography. I never want to be someone who takes predictable, boring photographs. To combat this, I ask myself after every photo: “Is this good enough..? If so, I’m happy. I’m always looking to create Timeless Images; Classic Photographs.” I wrestle with every image I shoot. I assume perfection is possible and I want to wring it out of every picture. Is there anyone out there who need to work with me…? Check Out My Contacts.

Hire Me

WHAT ELSE.?

Web Services

General Manager of Oledoinyo Web Services the Company Dealing with Web Services (Web Designing, Hosting and Domain Names).

Social Media Influencer

 Social Media  user who has established credibility in a specific industry having access to a large number of audience and can persuade others by virtue of my authenticity and reach to expand Social Reach.


TESTIMONIALS

Haigharimu hata hela kusema “AHSANTE” Kwa mtu aliyekupongeza kwa kitu kizuri ulichokifanya wewe. Sema tu na uendelee na mambo yako kwa maana ukipongezwa na kukausha ni dalili ya jeuri na kiburi. Kumbuka unayoyafanya wapo wengi wameshafanya na wengine watakuja kufanya.

Jalilu Zaid

Moyo wa binadamu huifadhi makovu ya majeraha kwa muda mrefu, yapo baadhi ya makovu huweza kupona kulingana na namna mtu alivyopokea jeraha, mengine yanahitaji neema ya Mungu ili kusahau japo kuna nyakati kama binadamu hatuwezi kusahau yote ka tunaishi karibu na kumbukumbu.

Jalilu Zaid

Remember you have the right to disagree with someone, but that doesn’t give you the right to slander them based on your disagreement. Are we together. ?

Jalilu Zaid

Usitumie pesa kwa kitu ambacho hakikuwa kwenye ratiba yako. Jiulize kwanza kabla hujanunua, “Bila kitu hiki, maisha yataenda au lah? Ukiona maisha yataenda bila kitu hicho, acha kukinunua. Tabasamu kisha ondoka.

Jalilu Zaid

Usikubali uwe shahidi , tena kwa kusaini kabisa ili umdhamini mtu ambae huna uhakika kuwa atalipa kile unachomdhamini. Kumbuka kuwa, dhamana maana yake utawajibika iwapo atashindwa kulipa.

Jalilu Zaid

Kupata matokeo mazuri darasani kunaweza kukupatia kazi au yakabaki kwenye gamba lako kama ilivyo kwa wengi sasa. Lakini kuwa na mauhusiano mazuri na watu itakupatia kazi nzuri na mahitaji yako mazuri. Ishi na watu kwa wema na uzuri. Usisite kuonesha kizuri ulichobarikiwa.

Jalilu Zaid

Mawasiliano ni swala muhimu sana linalojenga uongozi bora. Mawasiliano sio tu kupigiana simu bali pia kujibu maombi au vitu vya watu kwa muda stahiki kama barua pepe. Sio barua pepe ukitumiwa mpaka simu ipigwe kwamba angalia email yako. Unafeli sana.

Jalilu Zaid

Malezi bora ya watoto hutegemea umoja na mshikamano baina ya mama na baba. Kukiwa na amani katika nyumba, Maelewano yametawala moja kwa moja watoto malezi yatakuwa mazuri bila shida yoyote.

Jalilu Zaid

There’s no need to envy anyone. Each one of us has something unique. God made us that way. Remind yourself every single day your heart is precious. You deserve to be happy and that happiness deserves to be in your life. Always forgive your enemies nothing annoys them so much.

Jalilu Zaid

Katika maisha yako usiangalie pale ulipo anguka ila siku zote wewe cha kufanya angalia pale ulipojikwaa, kwani anguko lako linasababishwa na kujikwaa kwako. 

Jalilu Zaid

Love yourself but don’t forget to love all people around you. Pray for yourself but don’t forget to pray for others. This is life we live depending on each other. 

Jalilu Zaid

PORTFOLIO

 • All
 • DSLR Camera
 • Mobiography
 • Wallpaper

CONTACT

Get in touch with me.

 • Phone
  +255756301008
 • E-mail
  jaliluzaid@gmail.com
 • Address
  P.O.BOX 15538 ARUSHA

 


GET IN TOUCH

You can leave a message using the contact form below. Alternatively, you can contact us by phone. 

Your Name (required)

Your Email (required)

Subject

Your Message