Blog

Siku nimekutana na msichana mrembo kwenye Mwendokasi.

Wakati naperuzi katika mitandao ya kijamii kule Twitter ambao ni mtandao ninaokubali sana kwa sababu si tu unaniongezea maarifa zaidi bali pia umenipa marafiki wengi ambao baadhi yao sasa hivi tunaishi kama ndugu tofauti na mitandao mingine nimekutana na tweet ya jamaa yangu mmoja ambapo aliandika “Madada wanaofanya kazi POSTA wanaringa kinyama…unaeza sema wote wanafanya kazi […]

Read More

Unahitaji Furaha..?

UNAHITAJI FURAHA?  HAPO zamani za kale, palikuwa na ndege. Ndege huyo, aliumbika kwa uzuri akapendeza machoni. Alipambika kwa mbawa zake zenye rangi za kumetameta, na manyoya yapendezayo. Ni kiumbe kilichoumbwa kuruka angani kwa uhuru, kikileta furaha kwa kila aliyekitazama. Siku moja, mwanamke mmoja alimwona ndege huyu na kumpenda sana. Alimwangalia namna alivyoruka; alibaki mdomo wazi […]

Read More

Mwanamke sio sehemu ya kufanyia mazoezi ya ngumi.

Jua kali la Dar Es Salaam lililoambatana na joto ndio hali halisi iliyopo kwa sasa katika Jiji hili lililojaa lawama za kila namna kila mtu yuko bize na harakati zake hana muda na mwenzake kila mtu anakimbizana kutafuta ridhiki yake mwenyewe. Siku ya Ijumaa ya leo imeniachia mengi kichwani mbali na mizinguko ya hapa na […]

Read More

Jifunze kusaidia watu hata kwa kiasi kidogo ulichonacho.

Mwalimu Mariam Jumanne ni Mwalimu anaefundisha shule moja ya Sekondari huko Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza. Ni mwalimu wa aina yake mwenye upendo na huruma kwa wanafunzi lakini vile vile ni mchapa kazi ambae wanafunzi wake wengi hufanya vizuri kwenye masomo yao. Kama ilivyo kawaida mwalimu huwa hakosi rafiki mwanafunzi na urafiki hutokana na mambo […]

Read More
error: Content is protected !!