Blog

MAISHA YA KUMPENDEZA MUNGU.

Miaka kadhaa iliyopita, hii ilikuwa nyumba ya hadhi ya juu kabisa katika jamii iliyopo hapo. Mmiliki wake alikuwa ni tajiri mno ambae kila mtu angependa kwenda kwake kuomba msaada. Hilo gari lilikuwa kivutio kwa kila mtu katika hiyo jamii. Ilikuwa kama ndoto iliyokuwa kweli baada ya mmiliki kuongeza gari na hiyo nyumba kama vitu anavyovimiliki. […]

Read More

MCHUMBA.

Msichange na kununua gari lenu mkiwa wachumba Msichange na kununua shamba, kiwanja au nyumba yenu mkiwa wachumba. Msianzishe biashara ya pamoja mkiwa wachumba. Msikopeshane kiwango kikubwa cha pesa mkiwa wachumba. Msishirikiane kukopa kiwango kikubwa Bank au kwenye taasisi za fedha mkiwa wachumba. Haishauriwi kabisa kwa watu ambao ni wachumba kushirikiana kifedh na mipango iliyotajwa hapo […]

Read More

MSHENGA ASO NA MAANA YOYOTE.

Ambokile kijana wa kinyakyusa toka Mbeya alikuwa akijishughulisha na kazi za kugonga kokoto maeneo ya Kimbiji Kigamboni,shughuli hii aliianza miaka mitano iliyopita kiasi ambacho ilimfanya azoeleke sana maeneo yale. Ambokile akiwa na wagonga kokoto wenzie majira ya mchana walikuwa wakila kwa mama ntilie . Siku moja Ambokile akiwa na wenzie walikwenda kula kwenye banda la […]

Read More

MONICA

Monica alikuwa ni msichana mrembo sana, kila aliyemtizama alivutiwa na urembo alionao, na hata yeye alijitambua kuwa ni mrembo. Katika maisha yake Monica alikuwa anapenda sana vitu vizuri na vinavyokwenda na wakati kama nguo, viatu, simu na vitu vingine kadha kwa kadha. Lakini wazazi wake walikuwa hawana uwezo wa kumnunulia vitu vyote hivyo. Baada ya […]

Read More

Mimi na Wewe tutaondokaje hapa Duniani.?

Ukweli ni kwamba kuna siku nitalala milele, sitaamka tena. Maisha yangu hayatakuwa ya hapa duniani, nitarejea kwa yeye muumba wa mbingu na ardhi. Matendo pekee ndiyo yatakayonichagulia makazi ya kuishi, kati ya pepo na moto, kati ya mbingu na kuzimu, kati ya kwa waastarabu na watukutu. Yapi yatakuwa makazi ya milele kwangu.? Nitawaacha ndugu, jamaa […]

Read More

Mimi na Mama Omba Omba.

Kuna siku wakati nasoma Chuo nilipoteza Wallet yangu ambayo ilikuwa na fedha zote za matumizi. Nilijisikia vibaya sana. Alafu ilikuwa siku ambayo Chuo tuna TEST so wakati naelekea kituo cha Daladala Walllet ikadondoka. Wakati nataka kuingia kwenye gari nikagundua sina Wallet, ikabidi nirudi chap kuicheki huenda nimeidondosha au nimesahau nyumbani. Njiani sikuipata nikaenda moja kwa […]

Read More